Ndoa muhimu.!!!

Friday, August 311comments

Jamani hakuna ki2 muhimu katika maisha mwanadamu na anapofikia muda kama kuoa. Ndoa ni kila ki2 ktk maisha ya duniani. Katika dini ya Kiislam Kuoa ni kukamilisha NUSU ya dini, pia unapo oa unakuwa umejistiri. Machofu yote huyaoni ukiwa mwanaume uliyeoa, kila aina vi2 unavyo vipenda utaandaliwa na mke wako wa Ndoa. Lakini kama hutaki kuoa ni mtihani tuuu, mwisho wake ni ndoto mbaya, mawazo machafu, na upumbavu mwingi. FANYA UFUNGE NDOA

COMMENT PLS!!!

Share this article:

+ comments + 1 comments

September 12, 2012 at 2:44 PM

Wewe je Ushaoa????????????????

Post a Comment

Unaonaje huu Muonekano?

 
Support : Management

Copyright © 2011. Al-amini Official blog - All Rights Reserved
Template Modify by Al-Amini
Proudly powered by Blogger